Header AD

PSPF WASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA DUNIANI KWA WAFANYAKAZI,KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR

Ofisa muendeshaji wa Mfuko wa pensheni wa mashirika ya umma PSPF, Bw, Hadji Jamadary kushoto akimwelekeza kujaza fomu Shabani Maganga wakati wa mahadhimisho ya siku ya usalama na afya kazini yaliyofanyika viwanja vya mnazi mmoja Dar es salaam

Afisa muendeshaji wa mfuko wa pensheni wa mashirika ya uma PSPF Bw, Lule Kasembwe kushoto akitoa maelekezo kwa wazee waliojitokeza 
Ofisa muendeshaji wa PSPF Hadji Jamadary kushoto akiwapatia maelezo ya jinsi ya kujiunga na PSPF wakati wa mahadhimisho ya siku ya usalama na afya kazini yaliyofanyika viwanja vya mnazi mmoja Dar es salaam
PSPF WASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA DUNIANI KWA WAFANYAKAZI,KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR PSPF WASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA DUNIANI KWA WAFANYAKAZI,KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR Reviewed by crispaseve on 04:31 Rating: 5

No comments

Post AD