RAIS JAKAYA KIKWETE AFANYA ZIARA MKOANI KILIMANJARO
Baadhi ya wanannchi wakiwemo makada wa chama cha mapinduzi wakiwa Ikulu ya Moshi kungojea rais Jakaya Kikwete. |
Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na Niabu Meya wa manispaa ya Moshi Dk Mmbando ikulu ya mjini Moshi. |
Rais Kikwete akiwasili ikulu mjini Moshi akipokelewa na mwenyeji wake mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na mkuu wa wilaya ya Moshi Ibrahim Msengi. |
Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi pamoja na wananchi waliofika ikulu ya Moshi. |
Baadhi ya wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wa chama na serikali. |
Baadhi ya wageni wakisalimiana. |
RAIS JAKAYA KIKWETE AFANYA ZIARA MKOANI KILIMANJARO
Reviewed by crispaseve
on
05:04
Rating:
Post a Comment