FABOLOUS APONEA CHUPUCHUPU KATIKA AJALI MBAYA YA GARI

Good
Morning …I just survived a car accident on the Van Wyck in Queens, NY. I
wanna Thank God for not only letting me walk away with a few bumps
& bruises but also for letting my driver Ruben & the two truck
drivers involved walk away alive also.
This was my 1st time being in a car accident. It’s a very shocking
experience & may change my outlook on how fast things can happen
& you’re put into a life threatening situation. Live, Love, &
Celebrate Life. #Blessed.aliandika
Fabolous kwenye ukurasa wake wa Instagram akielezea kuwa hiyo ni ajali
yake ya kwanza kupata ya gari, hata hivyo hakuna mtu aliyepoteza
maisha kwenye ajali hiyo.
Unaweza ukatazama picha hapo juu jinsi mzinga ulivyokuwa. Gari Jeusi ndilo alilokuwa amepanda Fabolous baada ya kupata ajali.

FABOLOUS APONEA CHUPUCHUPU KATIKA AJALI MBAYA YA GARI
Reviewed by crispaseve
on
00:01
Rating:
Post a Comment