MABONDIA SAID MBELWA NA KARAMA NYILAWILA WATAMBIANA KUPAMBANA MEI 24 MANZESE
Mabondia
Karama Nyilawila kushoto na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa
utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa UBO may 24 katika
ukumbi wa frende corner manzese katikati ni katibu mkuu wa chama cha
ngumi za kulipwa nchini PST Antony Rutta.
Mabondia
Karama Nyilawila kushoto na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa
utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa UBO may 24 katika
ukumbi wa frende corner manzese.
Mabondia
Karama Nyilawila kushoto na Said Mbelwa wakitambiana wakati wa
utambulisho wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa UBO may 24 katika
ukumbi wa frende corner manzese picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA
Said Mbelwa na Karama Nyilawila wametambiana kila mmoja kuibuka mbabe
katika mpambano wao wa kugombania ubingwa wa Univers Boxing Oganaization
UBO mpambano utakaofanyika katika ukuimbi wa Frends Corner Manzese Dar
es salaam
likiwa
linasimamiwa na chama cha ngumi za kulipwa nchini PST mpambano huo
utakao onesha kuwa nani mbabe wa uzani wa kg 76 ubingwa wa UBO
akizungumzia mpambano huo Katibu mkuu wa shilikisho la ngumi za kulipwa
nchini Antony Rutta amesema kuwa mpambano huo unaosubiliwa kwa hamu
kubwa na mashabiki wengi nchini ukuiwa na mabondia wote wamecheza ngumi
za kitaifa na kimataifa yani ndani na nje ya nchi
akitolea
mfano bondia Said Mbelwa ndie bondia pekee ambaye anaenda nje ya nchi
kucheza ngumi na kumaliza raundi zote 12 walizo pangiwa ingawa anapigwa
kwa pointi ambapo mabondia wengi wa Tanzania wakienda nje wanapigwa K,O
mbaya sana ambazo zinawatia mpaka itrafu katika baadhi ya maeneo
akimzungumzia
Nyilawila ambaye alikuwa bingwa wa dunia wa uzani huo wa WBF ambaye
alichukua mkanda huo nje ya nchi jambo ambalo kubwa sana duniani kumpiga
mzungu nyumbani kwao si mchezo hivyo mabondia wote hawa wana sifa
zinazo lingana
nae
bondia Mbelwa aliongeza kwa kusema kuwa mimi nipo fiti hivyo mashabiki
waje kwa wingi kuangalia ngumi ambazo zitahacha historia kubwa katika
jiji la Dar es salaam na vitongoji vyake kwa kipigo nitakachompa Karam
Nae
bondia Nyilawila alitamba kwa kukimbiwa na Thomasi Mashali ambaye
alikuwa acheze nae ata hivyo bondia huyo amepata ajali ya gari na zamu
yake atacheza Mbelwa uchu wangu mkubwa ni Mashali huyu wamemuonea bule
kunipa mimi nita hakikisha namchakaza bila huruma ata chembe.
Katika
mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa
ngumi kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali
kama vile gem ya fransic Miyeyusho vs Mohamed Matumla 'Sneak jr'
mpambano ulivuta hisia za wapenzi wengi wa ngumi nchini
MABONDIA SAID MBELWA NA KARAMA NYILAWILA WATAMBIANA KUPAMBANA MEI 24 MANZESE
Reviewed by crispaseve
on
09:15
Rating:
Post a Comment