Rais Kikwete afungua Mkutano mkuu wa NSSf jijini Arusha leo
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa
hotuga yake ya Ufunguzi wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa
la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya
NPF-NSSF ulioanza leo,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.katika hotuba yake,Rais Kikwete ameitaka Mifuko ya
Hifadhi za Jamii kuhakikisha inawafikia wananchi wengi ambao bado
hajapata ufahamu mzuri wa umuhimu wa kujiwekea akiba.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akikabidhi Tuzo ya Utoaji wa Huduma bora za Mafao iliyoipata NSSF,kwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF),Ndg. Aboubakar Rajab mara baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa
nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana
na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza leo,kwenye ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
akizungumza mapema leo asubuhi wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa nne wa
Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na
Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza leo,kwenye ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crescentius Magori akiwasi Utekelezaji wa Maazimio ya Shirika wakati
Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)
unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza leo,kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akikabidhi mfano wa kadi ya Uanachama wa NSSF,kwa mwanachama mpya
aliejiunga na Mpango wa Wakulima,Bi. Amina Salehe Sakali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akikabidhi mfano wa kadi ya Uanachama wa NSSF,kwa mwanachama mpya
aliejiunga na Mpango wa Madini,Bw. Emmanuel Ismael.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Bwana Crescentius Magori
akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete katika viwanja vya AICC mjini Arusha ambapo alifungua
mkutano Mkuu wa wadau wa NSSF leo jioni.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo muda mfupi baada ya
kuwasili katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC mjini
Arusha leo ambapo alifungua mkutano wa nne wa wadau wa NSSF.Wengine
katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mages Mulongo,
Naibu Waziri wa TAMISEMI Kassim Majaliwa, Waziri wa Kazi na Ajira
Gaudencia Kabaka,Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF Bwana Abubakar
Rajabu na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa NSSF Bwana Crescentius Magori Picha na Freddy Maro.
Rais Kikwete afungua Mkutano mkuu wa NSSf jijini Arusha leo
Reviewed by crispaseve
on
09:14
Rating:

Post a Comment