MHASHAMU BABA ASKOFU MKUU MTEULE DAMIAN DENIS DALLU APOKEWA KWA SHANGWE SONGEA
Mhashamu
Baba Askofu mkuu mteule Damian Denis Dallu akiwa kwenye gari la wazi
kwa ajili ya kuwasabahi wakazi wa mkoa wa Ruvuma waliojitokeza
barabarani ikiwa ni ishara ya upendo baada ya kupokelewa kijiji cha
Lukumbulu ambacho kipo mpakani kati ya mkoa wa Njombe na Mkoa wa Ruvuma
Mhashamu
Baba Askofu mkuu mteule Damian Denis Dallu akiwa katika lango kuu la
nyumba ya Askofu katika kanisa kuu la Mt.Mathias Mulumba Kalemba
lililopo Mjini Songea
Waseminari
kutoka Seminari kuu ya Peramiho wakitumbuiza katika mapokezi ya
Mhashamu Baba Askofu mkuu mteule Damian Denis Dallu alipo wasili katika
kanisa kuu la Mt. Mathias Mulumba Kalemba .
Baadhi ya waumini na wananchi waliojitokeza jioni hii katika mapokeze ya Mhashamu Baba Askofu mkuu
MHASHAMU BABA ASKOFU MKUU MTEULE DAMIAN DENIS DALLU APOKEWA KWA SHANGWE SONGEA
Reviewed by crispaseve
on
02:25
Rating:
Post a Comment