MKUTANO WA NNE WA WADAU WA NSSF WAENDELEA KWA SIKU YA PILI JIJINI ARUSHA LEO
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crescentius Magori akisisitiza jambo wakati wa kujibu baadhi ya maswali
ya Wadau wa NSSF wanaohudhulia Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50
ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya
pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa Kikao cha kwanza siku ya leo,ambaye pia ni Mwenyekiti wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) la Nchini Kenya,Adan Mohamed akiongoza
kikao hicho leo kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya
NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi
wa Mipango,Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF), Yacoub Kidula akiwasilisha mada yake iliyohusu mambo ya
Uwekezaji,kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF
ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa Kikao cha Pili kwa siku ya leo cha Mkutano wa nne wa Wadau wa
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Prof. Mussa Assad
akizungumza jambo wakati akiweka sawa taratibu za uchangiaji katika
kikao cha Mkutano huo, unaoendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti
Mpya wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii
(SSRA),Juma Ally Muhimbi akifatilia mada mbali mbali zinazoendelea
kutolewa kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF
ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa
mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
MKUTANO WA NNE WA WADAU WA NSSF WAENDELEA KWA SIKU YA PILI JIJINI ARUSHA LEO
Reviewed by crispaseve
on
01:21
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
01:21
Rating:








Post a Comment