PSPF YATOA MSAADA WA MADAWATI 100 KWA SHULE ZA MSINGI
Afisa
Mfawidhi Mfuko wa Pensheni kwa watumishi (PSPF)Mkoa wa Iringa, Baraka
Jumanne akizungumza na waalimu wa Shule za Msingi tatu Mufindi
Kaskazini(hawapo pichani) kabla ya kukabidhi madawati 100 yaliyotolewa
na mfuko huo.
Afisa
Mfawidhi PSPF Iringa,Bakari Jumanne akimkabidhi Mkuu wa Wilaya Mufindi
Evarista Kalalu Madawati miamoja kwa ajili ya Shule za Msingi Mjimwema,
Mamba na Nyamalala yenye thamani ya sh. milioni 5 katika hafla
iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilaya Mufindi.
Baadhi
ya madawati yakiwa ndani ya lori kabla ya kukabidhiwa kwa shule za
msingi 3 za Mufindi Kaskazini.(picha zote na Denis Mlowe).
PSPF YATOA MSAADA WA MADAWATI 100 KWA SHULE ZA MSINGI
Reviewed by crispaseve
on
01:22
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
01:22
Rating:




Post a Comment