Picha na Taarifa:Serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imemaliza kupitia Rasimu ya Katiba ya Club ya Simba kwa ajili ya kuidhinisha katiba hiyo na kuifanya Club ya Simba kuendelea na taratibu za uchaguzi mkuu.

Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akiwaonyesha
Waandishi wa Habari Rasimu ya Katiba ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba
baada ya wanahabari kutaka kupata ufafanuzi juu ya hatma ya Katiba na
uchaguzi wa Klabu hiyo

Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akitoa ufafanuzi
kwa Wanahabari hawapo pichani kuhusu Rasimu ya Katiba ya Timu ya Mpira
wa Miguu ya Simba baada ya wanahabari kutaka kupata ufafanuzi juu ya
hatma ya Katiba na uchaguzi wa Klabu hiyo.Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM
---
Na: Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalini (WHVUM)
Serikali
kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imemaliza
kupitia Rasimu ya Katiba ya Club ya Simba kwa ajili ya kuidhinisha
katiba hiyo na kuifanya Club ya Simba kuendelea na taratibu za uchaguzi
mkuu.
Picha na Taarifa:Serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imemaliza kupitia Rasimu ya Katiba ya Club ya Simba kwa ajili ya kuidhinisha katiba hiyo na kuifanya Club ya Simba kuendelea na taratibu za uchaguzi mkuu.
Reviewed by crispaseve
on
04:11
Rating:

Post a Comment