PPF ILIVYOADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI LEO,RAIS KIKWETE AMKABIDHI ZAWADI MFANYAKAZI BORA WA PPF
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi
milioni 5, Herman Kachima, ambaye ni Msimamizi wa huduma kwa wateja wa
Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi
Duniani kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
wa NSSF, Dkt. Mohammed Dau (Wapili kulia), akiteta jambo na mkurugenzi
mkuu wa PPF, William Erio, na mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa
mifuko ya hifadhi ya jamii, (SSRA), Irine Isaka (Kushoto), na
mwenyekitinwa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida (Juu),
wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kwenye uwanja wa
Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Jakaya Kikwete, akimsalimia mjumbe wa bodi ya Mfuko wa Pensheni wa PPF,
Mbaraka Igangula, wakati akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es
Salaam leo.
Wafanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakipita kwenye maandamano mbele ya mgeni
rasmi, rais Jakaya Kikwete (Hayupo pichani) kwenye uwanja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
Mkuu wa PPF, William Erio (Kushoto), akimsikiliza kwa makini, Naibu
Katibu mMkuu wa Wizara ya Habari, Vijana na Michezo, Profesa Ole
Gabriel, wakati wa maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani kwenye
uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo
PPF ILIVYOADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI LEO,RAIS KIKWETE AMKABIDHI ZAWADI MFANYAKAZI BORA WA PPF
Reviewed by crispaseve
on
07:36
Rating:

Post a Comment