Diamond
na Wema Sepetu usiku wa jana waliwasha moto wa burudani ndani ya kiota
cha burudani kilichopo Mtwara ‘Makonde beach’ katika show yao ya Heels
& Ties’. Show hiyo iliyohudhuria na idadi kubwa ya wapenda bata wa
Mtwara na sehemu za jirani walioweza kukata kiu yao….Tazama picha zaidi
hapo chini
PICHA ZA SHOW YA DIAMOND NA WEMA ‘HEELS & TIES’ MAKONDE BEACH MTWARA
Reviewed by crispaseve
on
01:54
Rating: 5
Post a Comment