Soma Taarifa Ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT Tanzania) Kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika taarifa yake ya mwaka 2012/2013
1. Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT Tanzania) kimesononeshwa
sana na hoja za ukaguzi zilizoibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali katika taarifa yake ya mwaka 2012/2013. Taarifa ya
CAG inaonyesha kuwa fedha za umma katika mwaka wa fedha uliotajwa
zilitumiwa vibaya na watu waliokabidhiwa mamlaka ya kuzitunza na
kuzitumia kwa ajili ya wananchi.
Soma Taarifa Ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT Tanzania) Kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika taarifa yake ya mwaka 2012/2013
Reviewed by crispaseve
on
00:40
Rating:

Post a Comment