Header AD

Waziri Mbarawa afungua Maonesho ya 9 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia


 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa (katikati) na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Muhagama, wakimsilikiza Afisa Uhusiano wa Chuo cha Kikristo cha Uganda Prim Tumuramye baada ya ufunguzi wa Maonesho ya 9 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoanza leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.
 . Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Muhagama, akimueleza jambo Naibu Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Dar es Salaam (DUCE) Profesa Godliving Mtui (katikati) kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 9 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoanza leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.Kulia ni Waziri wa Mawsiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa.
 Mtaalamu wa Masuala ya Lishe kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) Gaudensia Donati akimueleza jambo Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Muhagama (anayeonekana mikono),wakati walipotembelea banda la chuo hicho.
 . Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa, akiangalia aina za panya wanazalishwa na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) katika Maonesho ya 9 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoanza leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.
 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa, akimueleza jambo Makamu Mshauri wa Wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Elimu iliyoko chini ya Chuo Kikuu cha Syansi na Teknolojia cha Huazhong cha nchini China, Annie Zhao wakati alipotembelea banda la chuo hicho.
 Makamu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar, Profesa Idris Rai akiwaonesha jambo Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa (katikati) na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Muhagama, wakati walipotembelea banda la chuo hicho.
Waziri Mbarawa afungua Maonesho ya 9 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia  Waziri Mbarawa afungua Maonesho ya 9 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia Reviewed by crispaseve on 01:45 Rating: 5

No comments

Post AD