Header AD

BET AWARDS NI DIAMOND TENA LEO


Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.
KUMEKUCHA! Unaweza kusema kwa maana nyingine wakati wasanii kutoka Afrika watakapokuwa pamoja kwenye Ukumbi wa Nokia Theatre uliopo Los Angeles, Marekani katika sherehe za utoaji tuzo za BET 2014 leo Juni 29.

Macho na masikio yote yameelekezwa kwa mtu mmoja kutoka Tanzania ambaye ni Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.
Kupitia wimbo wa My Number One (Remix), aliomshirikisha staa kutoka pande za Nigeria, Davido, ndiyo uliompandisha chati za juu mpaka kufikia…
BET AWARDS NI DIAMOND TENA LEO BET AWARDS NI DIAMOND TENA LEO Reviewed by crispaseve on 08:20 Rating: 5

No comments

Post AD