WASHIRIKI 20 WA SHINDANO LA TMT WAINGIA RASMI KAMBINI JANA USIKU, TAYARI KWA SAFARI YA KUWANIA MILIONI 50
Muonekano
wa TMT House ambayo washiriki 20 wa Shindano la Tanzania Movie Talents
wameweka kambi rasmi kuanzia jana Usiku kwa mchakato wa kuwania Milioni
50 katika fainali itakayofanyika Mwishoni mwa Mwezi wa nane.

Baadhi ya washiriki wa Fainali ya Shindano la TMT wakiingia kambini hapo jana usiku.
WASHIRIKI 20 WA SHINDANO LA TMT WAINGIA RASMI KAMBINI JANA USIKU, TAYARI KWA SAFARI YA KUWANIA MILIONI 50
Reviewed by crispaseve
on
08:24
Rating:
Post a Comment