Header AD

MZEE WA UPAKO AMPAKA MCHUNGAJI GWAJIMA HADHARANI, ''ADAI KAMA ANAFUFUA MISUKULE MBONA HAMFUFUI BABA NA MAMA YAKE?''

Mzee wa Upako Anamvua nguo GWAJIMA Hadharani

Kasema Gwajima anafanya hadaa kwa wafuasi wake, kasema kama kweli anafufua misukule, mbona hafufui watu wanaofahamika?
Hafufui baba na mama zetu, hafufui majirani zetu, anafufua tusio wajua?
MZEE WA UPAKO AMPAKA MCHUNGAJI GWAJIMA HADHARANI, ''ADAI KAMA ANAFUFUA MISUKULE MBONA HAMFUFUI BABA NA MAMA YAKE?'' MZEE WA UPAKO AMPAKA MCHUNGAJI GWAJIMA HADHARANI, ''ADAI KAMA ANAFUFUA MISUKULE MBONA HAMFUFUI BABA NA MAMA YAKE?'' Reviewed by crispaseve on 09:21 Rating: 5

No comments

Post AD