Header AD

TAARIFA YA KIFO/MSIBA WA BABA MZAZI WA BEATRICE SINGANO

MAREHEMU MAREHEMU NI MAURICE NOEL SINGANO
Bibi Maria Singano wa Sahare Tanga anasikitika kutangaza kifo cha mume wake mpendwa Lt Col (Rtd)Maurice Noel Singano kilichotokea  Chennai India tarehe 31/05/2014.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa mtoto wake Mikocheni B,Dar es salaam.
Kutakuwa na Misa siku ya Alhamisi kanisa la Mt. Martha Mikocheni Dar es salaam.Mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa tarehe 6/6/2014 Tanga.


BLOG HII INATOA SALAM ZA POLE KWA FAMILIA NZIMA, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WOTE 

...BWANA AMETOA NA BWANA AMETWA JINA LA BWANA LIBARIKIWE  
TAARIFA YA KIFO/MSIBA WA BABA MZAZI WA BEATRICE SINGANO TAARIFA YA KIFO/MSIBA WA BABA MZAZI WA BEATRICE SINGANO Reviewed by crispaseve on 06:11 Rating: 5

No comments

Post AD