Wafanyakazi wa Airtel watoa msaada hospitali ya Ocean Road
Mwenyekiti
wa kikundi cha wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Diva’,
Amitin Mbamba (kulia), akikabidhi msaada wa machela za kisasa mbili,
‘wheel chair’ mbili na bidhaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya
milioni 5/-, kwa Muuguzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road
(ORCI), Mary Haule, kwaajili ya matumizi ya wagongwa katika taasisi
hiyo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni wanachama
wa Airtel Diva.
Mwenyekiti
wa kikundi cha wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Diva’,
Amitin Mbamba (kulia), akikabidhi msaada wa moja kati ya ‘wheel chair’
mbili, machela za kisasa mbili na bidhaa mbalimbali vyenye thamani ya
zaidi ya milioni 5/-, kwa Muuguzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean
Road (ORCI), Mary Haule, kwaajili ya matumizi ya wagongwa katika taasisi
hiyo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni
wanachama wa Airtel Diva.
Muuguzi
Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Mary Haule (kulia)
akiwaongoza wanachama wa kikundi cha wafanyakazi wanawake wa Airtel
Tanzania ‘Airtel Diva’, wakati walipotembelea wagonjwa wa taasisi hiyo,
baada ya kukabidhi msaada wa machela za kisasa mbili, ‘wheel chair’
mbili na bidhaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya milioni 5/-,
kwaajili ya matumizi ya wagongwa katika taasisi hiyo, jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.
Wanachama
wa kikundi cha wafanyakazi wanawake wa Airtel Tanzania ‘Airtel Diva’,
wakiwa wamebeba bidhaa mbalimbali, walipotembelea wagonjwa katika
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) na kukabidhi msaada wa machela
za kisasa mbili, wheel chair mbili vyenye thamani ya zaidi ya milioni
5/-, kwaajili ya matumizi ya wagongwa katika taasisi hiyo, jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.
Wafanyakazi wa Airtel watoa msaada hospitali ya Ocean Road
Reviewed by crispaseve
on
10:17
Rating:

Post a Comment