Header AD

Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe Akutana na Balozi wa Sudan Nchini, Dk. Yassir Mohammed Ali, ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo mafupi, hususani matumizi ya maji ya Mto Nile Nakusema Tanzania haina mpango wa kuharibu maji ya Mto Nile kama wengi wanavyofikiri, zaidi ya kutaka kuhakikisha hatua sahihi zinachukuliwa ili kutatua tatizo la kupungua kwa kina cha maji kutokana na matumizi ya kibinadamu kukithiri na hivyo kuhatarisha uwepo wa mto huo.


 Balozi wa Sudan Tanzania, Dk. Yassir Mohammed Ali
  Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akiwa na mgeni wake, Balozi, Dk. Yassir Mohammed Ali, ofisini kwake pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Kuratibu Programu Ya Maji,  Joseph Kakunda.

Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe Akutana na Balozi wa Sudan Nchini, Dk. Yassir Mohammed Ali, ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo mafupi, hususani matumizi ya maji ya Mto Nile Nakusema Tanzania haina mpango wa kuharibu maji ya Mto Nile kama wengi wanavyofikiri, zaidi ya kutaka kuhakikisha hatua sahihi zinachukuliwa ili kutatua tatizo la kupungua kwa kina cha maji kutokana na matumizi ya kibinadamu kukithiri na hivyo kuhatarisha uwepo wa mto huo. Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe Akutana na Balozi wa Sudan Nchini, Dk. Yassir Mohammed Ali, ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo mafupi, hususani matumizi ya maji ya Mto Nile Nakusema Tanzania haina mpango wa kuharibu maji ya Mto Nile kama wengi wanavyofikiri, zaidi ya kutaka kuhakikisha hatua sahihi zinachukuliwa ili kutatua tatizo la kupungua kwa kina cha maji kutokana na matumizi ya kibinadamu kukithiri na hivyo kuhatarisha uwepo wa mto huo. Reviewed by crispaseve on 11:50 Rating: 5

No comments

Post AD