Header AD

BRAZIL KUMTANGAZA KOCHA MPYA


Luiz Felipe Scolari.
BRAZIL inatarajia kumtangaza kocha wake mpya katika mkutano na wanahabari Julai 22 mwaka huu kufuatia kujiuzulu kwa kocha wa timu hiyo, Luiz Felipe Scolari.
Scolari mwenye umri wa miaka 65 aliiongoza Brazil katika Kombe la Dunia ambapo timu hiyo ilipata kichapo kibaya cha mabao 7-1 dhidi ya mabingwa wa kombe hilo Ujerumani.
Aliyekuwa kocha wa timu hiyo ambaye aliiongoza kati ya mwaka 2006 na 2011 huenda akarejea na kuchukua mikoba ya Scolari.
BRAZIL KUMTANGAZA KOCHA MPYA BRAZIL KUMTANGAZA KOCHA MPYA Reviewed by crispaseve on 11:53 Rating: 5

No comments

Post AD