NEYMAR AKISAFIRISHWA KWA CHOPA KWENDA KWAO BAADA YA KUTOKA HOSPITALI

Mchezaji aliyekuwa tegemezi kwenye mechi za kombe la dunia za timu ya Brazil Neymar Jr, hatimaye amepelekwa kwao Guaruya, Sao Paulo kwa ajili ya mapumziko. Neymar amepata matibabu baada ya kupata maumivu kwa kugongwa kifuti kwenye uti wa mgongo na mchezaji wa Colombia wakiwa uwanjani.
Neymar
alipelekwa na helicopter kwenye uwanja wa mazoezi ambapo alikutana na
wachezaji wenzake, baadae alikutana na waandishi pamoja na mashabiki na
safari ikaelekea Sao Paulo. 

NEYMAR AKISAFIRISHWA KWA CHOPA KWENDA KWAO BAADA YA KUTOKA HOSPITALI
Reviewed by crispaseve
on
08:46
Rating:

Post a Comment