WATUHUMIWA 17 WANAODAIWA KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI LEO
Baadhi
ya watuhumiwa wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi katika
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakisindikizwa na askari wa Kikosi cha
Kutuliza Ghasia (FFU), kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini
Dar es Salaam Julai 17,2014 kusomewa mashitaka yao. Watuhumiwa 16
walisomewa mashitaka.PICHA NA PHILEMON SOLOMON
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiimarisha ulinzi.
Watuhumiwa wakiingia ndani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Watuhumiwa wakipelekwa maabusu baada yakusomewa mashitaka yao.
WATUHUMIWA 17 WANAODAIWA KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI LEO
Reviewed by crispaseve
on
08:18
Rating:

Post a Comment