Header AD

MKUTANO WA KUJADILI MASUALA YA KODI AFRIKA WAFANYIKA JIJINI ARUSHA

 Waziri wa fedha Saada mkuya akijadiliana jambo na rais wa kituo cha kimataifa cha ukusanyaji kodi na uwekezaji Daniel Witt wakati wa mkutano wa siku 3 wa majadiliano ya masuala ya kodi Afrika uliofanyika jijini Arusha jana katika hotel ya naura spring.
mkurugenzi mkuu wa TRA Rished Bade akizungumza wakati wa ufunguzi wa  mkutano wa siku 3 wa majadiliano ya masuala ya kodi Afrika uliofanyika jijini Arusha jana


 Picha ya pamoja
 vuiongozi wa kuu
 Waziri  wa Fedha Saada Mkuya akihojiwa na wanahabari.

waziri wa fedha Saada Mkuya katikati  akiwa na mkurugenzi mkuu wa TRA kulia Rished Bade na kushoto dr.Jeffrey Owens mtaalam msahuri wa kodi na mhadhiri chuo kikuu cha uchumi na biashara Viena mara baada ya waziri kufungua mkutano wa majadiliano ya masuala ya kodi unaofanyika jijini Arusha
MKUTANO WA KUJADILI MASUALA YA KODI AFRIKA WAFANYIKA JIJINI ARUSHA MKUTANO WA KUJADILI MASUALA YA KODI AFRIKA WAFANYIKA JIJINI ARUSHA Reviewed by crispaseve on 08:39 Rating: 5

No comments

Post AD