Header AD

ALI KIBA VS DIAMOND WANAGOMBEA UFALME


INAWEZEKANA lisiwe jibu sahihi lakini kwa kiasi fulani linatoa picha juu ya kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, kila kona gumzo ni juu ya nani mkali kimuziki kati ya Diamond Platnumz dhidi ya Ali Kiba.

Ali Kiba.
Nasibu Abdul ‘Diamond’ ndiye staa kwa sasa na amedumu kileleni kwa miaka kadhaa, hilo halina ubishi, lakini Ali Kiba amerejea kwa kutoa nyimbo mbili za Kimasomaso na Mwana baada ya ukimya wa miaka kadhaa, ukijumlisha vijembe ambavyo wanapigana wawili hao kwenye vyombo vya habari, gumzo limekuwa kubwa juu ya nani ni mkali kati yao kimuziki. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI»
ALI KIBA VS DIAMOND WANAGOMBEA UFALME ALI KIBA VS DIAMOND WANAGOMBEA UFALME Reviewed by crispaseve on 09:20 Rating: 5

No comments

Post AD