Mh. Lowassa azindua helkopta ya kanisa la ufufuo na uzima
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikata
utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Helkopta ya Mchungaji Josephat Gwajima
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (kulia kwa Mh. Lowassa).
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na Mtoto wa Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo
na Uzima.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiiingia
ndani ya Helkopta hiyo kuashiria kuizindua rasmi kwa safari mbali mbali
za kihuduma ya kiroho,itakayotumiwa na Mchungaji Josephat Gwajima wa
Kanisa la Ufufuo na Uzima.
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiteta jambo na rubani wa Helkopta hiyo muda mfupi baada ya kuizindua.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na
Mchungaji Josephat Gwajima,Kawe jijini Dar es Salaam leo.Picha zote na
Othman Michuzi.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwasili
kwenye viwanja vya kawe lilipo Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa
na Mchungaji Josephat Gwajima leo.
Mh. Lowassa azindua helkopta ya kanisa la ufufuo na uzima
Reviewed by crispaseve
on
00:06
Rating:

Post a Comment