MWANAMUZIKI MKONGWE WA TWANGA PEPETA,AMIGOLAS AZIKWA MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR LEO
Mwimbaji na mtuzni, Ali Choki, akiwa na uso wa huzuni wakati wa mazishi ya AMIGOLAS, ambaye kipindi gulani walikuwa bendi moja ya Twanga Pepeta |
Waombolezaji wakiwemo wasanii maarufu, wakiwa kwenye mazishi. |
Waombolezaji na wasanii wakiwemo wanamuziki wakiwa nyumbani kwa marehemu AMIGOLAS, kabla ya mzishi yake.PICHA KWA HISANI YA K-VIS BLOG |
MWANAMUZIKI MKONGWE WA TWANGA PEPETA,AMIGOLAS AZIKWA MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR LEO
Reviewed by crispaseve
on
22:33
Rating:
Post a Comment