Header AD

MTI MKUBWA WAANGUKIA MAGARI BARABARA YA SEA VIEW,UPANGA JIJINI DAR

 Sehemu ya mashuhuda wa tukio la kuanguka mti mkubwa katika barabara ya Sea View,Upanga jijini Dar es Salaam.Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo kwenye tukio hilo wameeleza kuwa kuwa chanzo cha kuanguka kwa mti huo ni ukongwe wa mti huo.
 Sehemu ya magari yaliyoangukiwa na Mti huo mchana huu.
 Muonekano wa Mti huo.
 Mti huo ukiwa umeangukia ukuta.
 Baadhi ya wamiliki wa magari hayo wakijadiliana mara baada ya magari yao kuangukiwa na mti huo.
 Pichani ni viti ambavyo vilikuwa vimekaliwa na watu ambao walinusurika.
Hawa ndio waliokuwa wamekaa kwenye hivyo viti.
MTI MKUBWA WAANGUKIA MAGARI BARABARA YA SEA VIEW,UPANGA JIJINI DAR MTI MKUBWA WAANGUKIA MAGARI BARABARA YA SEA VIEW,UPANGA JIJINI DAR Reviewed by crispaseve on 06:03 Rating: 5

No comments

Post AD