NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU Tanzania Bara (Tanganyika

Bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band almaarufu
FFU-Ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani,inawatakia kila la heri
katika kusherehekea miaka 53 ya Uhuru . Salam hizi za heri ya 9 Disemba
ziwafikie watanzania wote walio nyumbani na nje ya nchi.Ngoma Africa
band chini ya uongozi wake Kamanda ras Makunja unaweza kuwasikiliza pia
katika kambi yao ya FFU-ughaibuni bofya http://www.ngoma-africa.com pia at https://itunes.apple.com/ album/id947329929 au
NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 53 YA UHURU Tanzania Bara (Tanganyika
Reviewed by crispaseve
on
01:58
Rating:

Post a Comment