Serikali imelifungia shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili kutokana na sababu mbalimbali na ukiukwaji wa taratibu walizojiwekea, ikiwemo udanganyifu mkubwa unaojitokeza kila mwaka kwenye shidano hilo.

Mkurugenzi wa Lino Agency ambaye ni mmoja kati ya waandaaaji wa Miss Tanznia, Hashim Lundenga
Serikali imelifungia shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili kutokana na sababu mbalimbali na ukiukwaji wa taratibu walizojiwekea, ikiwemo udanganyifu mkubwa unaojitokeza kila mwaka kwenye shidano hilo.
Maamuzi hayo yamechukuliwa na BASATA, ambapo Kaimu Mtendaji wa Baraza hilo Godfrey Mngereza
amesema maamuzi hayo yalifikiwa baada ya kukaa kikao cha tathmini
ambapo Kamati ya Miss Tanzania ilishindwa kujibu hoja za msingi za wadau
na kukiri kuwepo udhaifu katika uendeshaji wa shindano hilo.
Serikali imelifungia shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili kutokana na sababu mbalimbali na ukiukwaji wa taratibu walizojiwekea, ikiwemo udanganyifu mkubwa unaojitokeza kila mwaka kwenye shidano hilo.
Reviewed by crispaseve
on
11:25
Rating:

Post a Comment