SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU WA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA.

Waziri
wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za
Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 leo jijini Dar
es salaam.

Waziri
wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (kulia) akimkabidhi Katibu Mkuu Wizara
ya Fedha Dkt. Servicius Likwelile chapisho la lenye Takwimu za Pato la
Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 wakati wa uzinduzi wa
usambazaji wa takwimu hizo leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa(Kushoto) akitoa
ufafanuzi wa kazi ya kurekebisha takwimu za Pato la Taifa iliyofanywa na
Ofisi ya Taifa ya Takwimu iliyotumia tafiti za taifa zilizofanyika kwa
kipindi cha mwaka 2001 hadi 2007.Kulia ni Waziri wa Fedha Mh. Saada
Salum Mkuya.


Baadhi
ya viongozi na wageni waliohudhuria uzinduzi wa usambazaji wa Takwimu
za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007
wakimsikiliza Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa, Bw. Daniel Masolwa
wakati akiwasilisha mada kuhusu Pato la Taifa leo jijini Dar es salaam.
SERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU WA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI LAONGEZEKA.
Reviewed by crispaseve
on
09:06
Rating:
Post a Comment