Waziri Mkuu Mizengo Pinda Apokea Mabehewa Mapya ya TRL Yaliyonunuliwa Kwa Fedha ya Serikali

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na
Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison Mwakyembe wakikagyua moja ya mabehewa
mapya ya TRL yaliyonunuliwa kwa fedha ya serikali wakati alipokwenda
kwenye Bandari ya Dar es salaam Desemba 8, 2014 kupokea mabehewa
hayo.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda Apokea Mabehewa Mapya ya TRL Yaliyonunuliwa Kwa Fedha ya Serikali
Reviewed by crispaseve
on
04:52
Rating:
Post a Comment