HEBU UJIONEE JINSI DIAMOND ALIVYOPAGAWISHA SHOW YA AMAHORO RWANDA,MAELFU WAJITOKEZA..

Mwanadada wa Kiganda, Zahara Hassan ambaye kwa sasa ni mchumba wa Diamond akifuatilia show hiyo

Mwanamuziki
wa kizazi kipya kutoka nchini Rwanda, Butera Knowless anayetamba na
kibao cha 'TULIA' akitumbuiza katika show hiyo kali ya kufa mtu ambapo
pia vijana wa

Diamond akiwa jukwaani

Nguli
wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka Tanzania, Nassib Abdul 'Diamond'
akitumbuiza katika show yake iliyofanyika katika uwanja wa Amahoro mjini
Kigali Rwanda wakati wa shamrashamra za siku kuu ya mwaka mpya. Diamond
alikuwa Rwanda kwa mwaliko wa East Afrika Promotors.

Diamond akifanya yake jukwaani...

Mashabiki wakiwa uwanjani hapo kushuhudia burudani hiyo.

Mashabiki wa Knowless wakishangilia huku wakiwa na picha zake.

Mashabiki wa burudani waliofurika katika uwanja wa Amahoro kumnshuhjudia mkali huyo Afrika Mashariki.
HEBU UJIONEE JINSI DIAMOND ALIVYOPAGAWISHA SHOW YA AMAHORO RWANDA,MAELFU WAJITOKEZA..
Reviewed by crispaseve
on
09:31
Rating:

Post a Comment