Header AD

WAENDESHA BODABODA WAJINAFASI KWA MIPASHO DAR LIVE


 
Khadija Kopa akijipinda kimadaha wakati akifanya ‘mavituz’ stejini.
Kundi la Ogopa Kopa kazini.
Mtoto wa Khadija Kopa aitwae Mohammed Kopa akikamua huku nyuma yake akisapotiwa na wenzake.
Mkali wa miondoko ya Kigodoro, Msaga Sumu, akivamia jukwaa na kuwainua mashabiki waliokaa vitini.
Mashabiki wakijimwaya na burudani ya Kigodoro kutoka kwa Msaga Sumu ambaye alikuwa akisapotiwa na Ogopa Kopa.
 
Msaga Sumu akimpelekesha Khanifa Khalid anayeserebuka kwa staili ya gwaride.
Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa (kulia) na Khanifa Khalid wakikamua.
 
Aziza Kimodo akikamua.
 
Shadya Chotara naye akionesha makali yake.
WAENDESHA BODABODA WAJINAFASI KWA MIPASHO DAR LIVE WAENDESHA BODABODA WAJINAFASI KWA MIPASHO DAR LIVE Reviewed by crispaseve on 09:30 Rating: 5

No comments

Post AD