NGOMA MPYA : CHEGE NA TEMBA – KAUNYAKA

Chege na Temba A.K.A wakata Mkaa
wameachia ngoma yao mpya ”Kaunyaka” ambayo imefanywa nchini Afrika
Kusini na Producer mkongwe Uhuru yenye mchanganyiko wa Bongo Fleva na
Kwaito. Isikilize Hapo chini
NGOMA MPYA : CHEGE NA TEMBA – KAUNYAKA
Reviewed by crispaseve
on
21:59
Rating:
Post a Comment