Habari
zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mh. CAPTAIN JOHN KOMBA Amefariki Dunia
huko Nyumbani Kwake Mbezi Beach Sababu ya kifo chake mbunge huyo wa
mbinga bado hakijafahamika .
Endelea kufuatilia kwa habari zaidi.
BREAKING NEWS: CAPTAIN JOHN KOMBA AMEFARIKI DUNIA
Reviewed by crispaseve
on
06:45
Rating: 5
Post a Comment