Header AD

ODAMA AFUNGUKA KUCHANGIA WANAUME!

Laurent Samatta

MAMBO yanazidi kunoga ndani ya safu hii ya Sindano 5 za moto, kutokana na maombi yenu, leo tumemleta kwenu mwigizaji Jeniffer Kyaka ‘Odama’, tiririka naye:
Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Jeniffer Kyaka ‘Odama’.
Paparazi: Mambo vipi Odama! Tuanze moja kwa moja na swali la kwanza, hivi kwa sasa una mpenzi? Mbona hatumjui?Odama: Mambo poa! Mpenzi ninaye, nampenda muda bado wa kumuanika.Paparazi: Ulishawahi kuchangia bwana na mwanamke mwingine katika maisha yako?…
ODAMA AFUNGUKA KUCHANGIA WANAUME! ODAMA AFUNGUKA KUCHANGIA WANAUME! Reviewed by crispaseve on 01:47 Rating: 5

No comments

Post AD