Header AD

AZANIA BANK YAWAANDALIA MNUSO WAFANYAKAZI WAKE WA TAWI LA MOSHI

Mwenyekiti wa kamati ya mnuso wa wafanyakazi wa Azania Bank tawi la Moshi,Tumsifu Swai akitoa neno la ukaribiho kwa wageni waliofika katika mnuso huo uliofanyika katika
Hotel ya Sal Salnero mjini Moshi.
Meneja wa Azania Bank tawi la Moshi,Hajira Mmambe akizungumza na watoto pamoja na kuwakaribisha wanafamilia wa benki hiyo katika mnuso wa usiku ulioandaliwa mahususi kwa ajili ya wafanyakazi wa benki hiyo pamoja na familia zao.
AZANIA BANK YAWAANDALIA MNUSO WAFANYAKAZI WAKE WA TAWI LA MOSHI AZANIA BANK YAWAANDALIA MNUSO WAFANYAKAZI WAKE WA TAWI LA MOSHI Reviewed by crispaseve on 02:26 Rating: 5

No comments

Post AD