KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA CHAMWINO,KESHO KUUNGURUMA MTERA.

Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akivishwa chombo chenye dawa
aliposhiriki kupulizia dawa za kuua wadudu katika mradi wa shamba la
zabibu eneo la Chinangali II, Wilaya ya Chamwino leo.


Mkuu
wa Wilaya ya Chamwino, Farida Mgomi, na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
kupitia Vijana, Deo Ndejembi wakishiriki kupulizia dawa za kuu wadudu
katika shamba la zabibu la Chinangali II, wilayani Chamwino, mkoani
Dodoma leo.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mtera,Mh.Livingstone Lusinde ndani ya wilaya ya Chamwino
a Mtera,Mh.Livingstone Lusinde ndani ya wilaya ya Chamwino mapema leo.

Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akisalimiana na Mbunge wa jimbo la
Mtera,Mh.Livingstone Lusinde ndani ya wilaya ya Chamwino mapema leo.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiweka jiwe la msingi Ofisi ya
CCM Wilaya.

Ndugu Kinana akipanda mti mbele ya Ofisi ya Wilaya ya Chamwino inayojengwa.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndug Kinana akiingia ukumbini kuendesha mkutano wa Halmashauri
Kuu ya Wilaya ya Chamwino

Katibu Mkuu wa CCM,Ndug Kinana akizungumza katika mkutano maalum wa jimbo la Chilonwa,wilaya ya Chamwino leo.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati), akishiriki
kuchimba shimo la choo cha Shule Mpya ya Msingi ya Kikwete, eneo la Chamwino Ikulu, Jimbo la Chilonwa wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, katika Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma leo.

Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi-Taifa Nnape Nnauye akimpogeza mmoja wa watoto
kundi la Nyota Njema aliyekuwa akipiga ngoma yenye asili ya kigogo kwa
ustadi.

Nyota
njema Kikundi cha ngoma za asli ya kabila la Wagogo linaloshirikisha
watoto wanaopiga kwa ustadi ngoma kiktumbuiza baada ya Kinana kuwasili
kushiriki ujenzi wa Shule ya Msingi ya Msanga B, wilayani
Chamwino.Katikati ni mtoto Jamima Juma mwenye umri wa miaka mitatu
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Nyota
njema Kikundi cha ngoma za asli ya kabila la Wagogo linaloshirikisha
watoto wanaopiga kwa ustadi ngoma kiktumbuiza baada ya Kinana kuwasili
kushiriki ujenzi wa Shule ya Msingi ya Msanga B, wilayani
Chamwino.Katikati ni mtoto Jamima Juma mwenye umri wa miaka mitatu
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akitazama kikundi cha ngoma za asili ya kabila
la Kigogo linalowashirikisha watoto kiitwacho Nyota
asili
ya kabila la Kigogo linalowashirikisha watoto kiitwacho Nyota
Njema,alipokwenda kushiriki ujenzi wa shule ya msingi ya Msanga
B,Wilayani Chamwino.

Sehemu
ya jengo la Zahanati ya kijiji cha Mahampha katika kata ya
Chilonwa,Wilayani Chamwino,ambapo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana
alishiriki ujenzi wa zahanati hiyo

Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiungana na vikundi vya ngoma kupiga
ngoma alipowasili kwenye mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Shule ya
Sekondari ya
Majereko, wilayani Chamwino leo.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo wa hadhara.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana Katibu
Mkuu wa CCM,akihutubia katika mkutano huo, ambapo alisema CCM ni chama
pekee nchini kinachowajali wanawake kwa kuwapatia nafasi nyingi za
uongozi. Leo ni maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa imeadhimishwa mkoani Mororo na mgeni rasmi alikuwa Rais Jakaya Kikwete.
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA CHAMWINO,KESHO KUUNGURUMA MTERA.
Reviewed by crispaseve
on
02:19
Rating:

Post a Comment