NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA LIVE MJINI STUTTGART ,GERMANY. Africa Unite Party Jumamosi 14 March 2015

Bendi ya maarufu Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni aka Anunaki aliens bendi
hiyo inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho maalumu la AFRICA UNITE
PARTY litakalofanyika katika ukumbi wa VTS uliopo mtaa wa Augusburger
Str.442 D-70327 mjini Stuttgart,nchini Ujerumani.
Onyesho
hilo
limeandaliwana shirika la Afrikaktiv e.V wakishirikiana na shirika la
Cabaret du Monde,Ngoma Africa band iliyozoeleka kwa kuwatia kiwewe
washabiki wake kilakona duniani wataporomosha muziki moto moto na mdundo
wao maarafukama " Extraordinary Bongo Dansi" mdundo unaotingisha bila
ya kuwa nampinzani huko ughaibuni, bendi hiyo inadumu katika medani ya
muziki kwamuda wa miaka 23 na kufanikiwa kujizolea washabiki kila kona.
Ticket za onyesho hilo zinapatikana kwa simu ( booking): Call9+49 0)152 12091242 au +49(0)152 106106137 Mnakaribishwa wote,pia usikose kuwasikilizaFFU-Ughaibuni at www.ngoma-africa.com
NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA LIVE MJINI STUTTGART ,GERMANY. Africa Unite Party Jumamosi 14 March 2015
Reviewed by crispaseve
on
02:13
Rating:

Post a Comment