MADAKTARI WA MACHO KUTOKA SHIRIKA LA SPACSAVER WACHUNGUZA MATATIZO YA MACHO KIEMBESAMAKI ZANZIBAR.
Wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki wakiwa katika mistari wakisubiri huduma
ya kupima macho inayotolewa kwa ushirikiano na madaktari kutoka Shirika la
Spacsaver la Sweeden na madaktari wa Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika Skuli
ya Sekondari ya Kiembesamaki.
Daktari wa macho kutoka Shirika la Spacsaver Petter Daniesin akimfanyia vipimo mtoto Sabrina Abdalla Salum katika zoezi
linalofanyika Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki.
Daktari wa Shirika la Spacsaver Ingrid Stenersen akimfanyia uchunguzi mmoja ya
wananchi wa Jimbo la Kiembesamaki waliofika Skuli ya Sekondari ya eneo hilo
kupatiwa huduma ya macho. Picha na
Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
MADAKTARI WA MACHO KUTOKA SHIRIKA LA SPACSAVER WACHUNGUZA MATATIZO YA MACHO KIEMBESAMAKI ZANZIBAR.
Reviewed by crispaseve
on
07:56
Rating:
Post a Comment