Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi
akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliofanyika
katika viwanja vya TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani
yaliofanyika katika viwanja vya TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam
wakiingia kwa maandamano mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo.
Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani
yaliofanyika katika viwanja vya TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam
waifuatilia mada anuai katika maadhimisho hayo.
TGNP Mtandao na Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Reviewed by crispaseve
on
07:52
Rating: 5
Post a Comment