Header AD

WAFANYAKAZI WA RADIO 5 WANOLEWA NA BBC MEDIA ACTION


???????????????????????????????
Wafanyakazi wa kampuni ya Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha   Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha wakiwa katika picha ya pamoja jana katika mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kitaaluma ili waweze kuandika habari za kuboresha maisha ya jamii kwa kupata maendeleo kuelekea uchaguzi mkuu,mafunzo hayo yanaendeshwa na shirika lisilo la kiserikali la BBC Media Action, aliyevalia shati la blue ni mkufunzi mwandamizi Pendael Omari wa shirika hilo(Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
???????????????????????????????
Mkufunzi mwandamizi Pendael Omari wa shirika lisilo la kiserikali la BBC Media
Action akiwa anatoa ufafanuzi katika mafunzo hayo yaliyokuwa yakifanyika katika ofisi za Radio 5,mafunzo hayo yalidumu kwa takribani wiki mbili
???????????????????????????????
Mtangazaji maarufu wa kituo hicho Ernest Matundiro a.k.a Prince de la ville kushoto akiwa anaandika vipengele muhimu katika uandishi wa habari,kulia ni Mhariri wa kituo hicho Monica Nangu.
WAFANYAKAZI WA RADIO 5 WANOLEWA NA BBC MEDIA ACTION   WAFANYAKAZI WA RADIO 5 WANOLEWA NA BBC MEDIA ACTION Reviewed by crispaseve on 08:54 Rating: 5

No comments

Post AD