JAPAN YACHANGIA SH. MILIONI 160 SHULE YA MSINGI KAKUNI

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Kaimu Balozi wa Japan Nchini, Kazuyoshi
Matsunaga baada ya kushuhudi utiaji saini wa makubaliano ya Japan ya
msaada Japan wa shilingi milioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya
Awali ya Kakuni wilayani Mlele Machi 6, 2015 kweye ukumbi wa Ofisi ya
Waziri Mkuu jijini Dar es
salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa
katika picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Japan nchini, Kazuyoshi
Matsunaga (kulia kwake) baada ya kushuhudi utiaji saini wa makubaliano
ya msaada wa Japan wa shilingi milioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa
Shule ya Awali ya Kakuni wilayani Mlele Machi 6, 2015 kweye ukumbi wa
Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
katavi, Dkt. Ibrahim Mzengi na wapili kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa
huo, Mhandisi Kalobelo. Wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri
ya wilaya ya Mlele, William Mwakalambile.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
JAPAN YACHANGIA SH. MILIONI 160 SHULE YA MSINGI KAKUNI
Reviewed by crispaseve
on
12:09
Rating:
Post a Comment