WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR ATEMBELEA VITENGO MBALIMBALI HOSPITAL YA MNAZI MMOJA
Mkuu
wa wodi ya watoto Hospital ya Mnazi mmoja Fatma Ali Moh’d akimpatia
maelezo Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed mwenye Kaunda suti wakati
Waziri huyo alipofanya ziara za Vitengo vya Hosptal hiyo.
Waziri
wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akimjulia hali mtoto Khairat Juma
anaesumbuliwa na ugonjwa wa kuvuja damu, kulia ni Mkuu ya wodi ya kina
mama na watoto Hospital ya Mnazi mmoja Dkt. Nasra S Ali.
Mkurugenzi
Mkuu Hospitali ya Mnazi mmoja Ali Salum Ali akielezea changamoto
wanazokabiliana nazo katika utendaji wao wa kazi kwa uongozi wa Wizara
ya Afya.
Mkuu
ya Wodi ya kina mama na watoto Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt. Nasra S
Ali akielezea upungufu wa Wauguzi katika Wodi hiyo wakati uongozi wa
Wizara ulipofanya ziara katia vitengo vya Mnazi mmoja.
Naibu
Waziri wa Afya Zanzibar Harusi Said Suleiman akielezea maendeleo
yaliyofikiwa licha ya changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika
Hosptial ya Mnazi mmoja.
Waziri
wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akizungumza na uongozi wa Wizara
na Watendaji wa Hospital ya Mnazi mmoja mara baada ya kufanya ziara
katika vitengo mbalimbali vya Hospital hiyo. Picha na Abdallah
Omar-Maelezo Zanzibar
WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR ATEMBELEA VITENGO MBALIMBALI HOSPITAL YA MNAZI MMOJA
Reviewed by crispaseve
on
06:02
Rating:
Post a Comment