Header AD

MWAKYEMBE AKUTANA NA MSANII DIAMOND,WAMALIZA TOFAUTI ZILIZOJITOKEZA HAPO AWALI




Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatua zilizochukuliwa na wizara kwa kufungia baadhi ya nyimbo zinazokiuka maadili, kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Juliana Shonza na kulia Msanii wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’. 
Naibu Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu hatua zilizochukuliwa na wizara kwa kufungia baadhi ya nyimbo zinazokiuka maadili, katikati ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe na kulia ni Msanii wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’. 
Msanii wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’ (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maridhiano yaliyofikiwa kati yake na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo jana jijini Dar es Salaam, Katikati ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe na kushoto ni Naibu Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza. Picha na Idara ya Habari - MAELEZO
MWAKYEMBE AKUTANA NA MSANII DIAMOND,WAMALIZA TOFAUTI ZILIZOJITOKEZA HAPO AWALI MWAKYEMBE AKUTANA NA MSANII DIAMOND,WAMALIZA TOFAUTI ZILIZOJITOKEZA HAPO AWALI Reviewed by crispaseve on 05:56 Rating: 5

No comments

Post AD