Header AD

MATUKIO KATIKA PICHA BALOZI WA ITALIA NCHINI TANZANIA AMTEMBELEA SPIKA OFISINI MJINI DODOMA


Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania Mheshimiwa Roberto Mengoni wakati Balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma 
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akimsikiliza Balozi wa Italia nchini Tanzania Mheshimiwa Roberto Mengoni wakati alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma 
Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akimsikiliza Balozi wa Italia nchini Tanzania Mheshimiwa Roberto Mengoni wakati Balozi huyo alipotembelea Ofisi za Bunge Mjini Dodoma
MATUKIO KATIKA PICHA BALOZI WA ITALIA NCHINI TANZANIA AMTEMBELEA SPIKA OFISINI MJINI DODOMA MATUKIO KATIKA PICHA BALOZI WA ITALIA NCHINI TANZANIA AMTEMBELEA SPIKA OFISINI MJINI DODOMA Reviewed by crispaseve on 11:39 Rating: 5

No comments

Post AD