Header AD

Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma



Msanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.
Msanii Jebby atakumbukwa kwa wimbo wake wa 'Swahiba' aliomshirikisha Afande Sele. Wimbo huo umekuwa ukisikika kunapotokea msiba mkubwa na hata Masogange umauti ulipomkuta wimbo wa ''Swahiba'' umegongwa sana.

RIP Jebby.

Wimbo wa Swahiba
Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma Reviewed by crispaseve on 10:05 Rating: 5

No comments

Post AD