KANYE WEST AMSAPRAIZ MTOTO WAKE NORTH WEST KWA KUMNUNULIA GARI LINALLOFANANA NA GARI YAKE.
Kanye West na Kim Kardashian.
Wakati sikukuu ya kristmas zikiwa zinafikia tamati huku baadhi ya watu wakimalizia zoezi la kufungua zawadi walizopata kutoka kwa ndugu, washikaji na wapenzi, Rapa anayefanya vizuri katika gemu ya muziki nchini Marekani, Kanye West aliamua kuonyesha upendo wa hali ya juu baada kumfanyia sapraiz ya aina yake mtoto wake wa kike ‘North West’ kwa kumnunulia zawadi ya gari ndogo aina ya Lamborghini ambayo inafanana na gari yake kuanzia rangi mpaka jina.
baada ya tukio hilo mama wa mtoto mwanamitindo Kim Kardashian alitupia picha za mikoko hiyo miwili kupitia mtandao wa Instagram,, tazama picha hapa chini.
Kushoto ni gari ya Rapa Kanye West aina ya Lamborhini na kushoto ni gari ndogo aliyomnunulia mtoto wake No.rth West
KANYE WEST AMSAPRAIZ MTOTO WAKE NORTH WEST KWA KUMNUNULIA GARI LINALLOFANANA NA GARI YAKE.
Reviewed by crispaseve
on
21:08
Rating:

Post a Comment