WASTARA ASINDIKIZWA NA WASANII WENZAKE KATIKA KISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU SAJUKI.
Msanii wa tasnia ya filamu nchini Tanzania, Wastara Rajab amesindikizwa na baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wake wa karibu wakiwemo wasanii wenzake katika makaburi ya Kisutu sehemu aliyozikwa marehemu mume wake Juma ‘Sajuki’ Kilowoko katika kisomo cha kumuombea dua, Hizi ni baadhi ya picha ya kilichojiri makaburi ..
Pichani kushoto ni Msanii wa filamu nchini maarufu kama Mzee Chilo akiwa na Wastara katika makaburi ya Kisutu.
Katika picha ni baadhi ya wasanii wa tasnia ya nchini waliomsindikiza Wastara akiwemo Tino ambaye alikuwa rafiki wa karibu na marehemu Sajuki, Babu Haji mzee wa Hisia na wengine.
Flora Mvungi alikuwa miongoni mwa wasanii waliomsindikiza Wastara.
WASTARA ASINDIKIZWA NA WASANII WENZAKE KATIKA KISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU SAJUKI.
Reviewed by crispaseve
on
21:09
Rating:

Post a Comment