BREAAAAKING NEWSSS.....,AJALI YA MOTO YATOKEA MWANANYAMALA MAENEO YA SHULE
MOTO umeibuka mchana wa leo katika nyumba iliyopo maeneo Mwananyamala B karibu na maeneo ya shuleni, jijini Dar es Salaam,Nakuteketeza sehemu kubwa ya jengo hilo na baadhi ya mali zilizokuwemo ndani yake.
Chanzo halisi cha moto huo hakikuweza kufahamika mara moja ingawa inadaiwa kuwa huenda ilikuwa ni shoti ya umeme katika nyumba hiyo. Hakuna mtu yeyote aliyedhurika na moto huo.
BREAAAAKING NEWSSS.....,AJALI YA MOTO YATOKEA MWANANYAMALA MAENEO YA SHULE
Reviewed by crispaseve
on
03:35
Rating:
Post a Comment